*NGUVU YA MAFUTA YA KINABII*
SHULE YA UNABII KWA MANABII
NA.ALPHA 1 DERICDADY
SON OF ALPHA AND OMEGA
Nimhimu kujua mafuta yanamaanisha nini katika ofisi ya kinabii,samweli alimtia mafuta sauli kuwa mfalme na samweli Huyo huyo alimtia mafuta Daudi kwanini hakumuwekea mikono akamtia mafuta?
Mafuta kibiblia yamebeba uweza wa utendaji na kufungua milango iliyozuiliwa kwa lugha nyepesi mafuta ilikuwa ni steppingstone kwa Sauli na Daudi,yalifungua mlango wao kuwa watawala ndiposa nachelea kusema hata Yehu ilimpasa apakwe mafuta na Nabii wa Bwana ili awe Nabii mafuta yanayotoka kwa Nabii ni uweza wa ki Mungu wapekee kufungua milango iliyozuiliwa ndio maana kwa *kutiwa mafuta nira huondoka* nira ilimzuia Daudi kuja kuwa Mfalme ndio mà ana Daudi akampaka mafuta,samweli alifungua milango juu ya Daudi kwa mafuta kwanini Yale mafuta asipakwe na Baba yake akapakwa na Nabii samweli nikwasababu Baba wa samweli hakuwa na nguvu ya kinabii ambayo nguvu ya kinabii ni sheria maana kinywa cha Nabii kimejaa maneno ya kutunga sheria za Rohoni samweli alikuwa anatengeneza sheria Daudi kuwa mfalme wa israel.
Baba wa Daudi akampaka mafuta Daudi angeishia kuwa kiongozi wa familia yake tu lakini asingewatawala Israel yote.
Mafuta ya kinabii ndio ufunguo wa Daudi kuwa mfalme,Nabii akiwa vizuri katika ofisi yake ya kinabii kila jambo linawezekana na ifahamike iko Tofauti kati ya Nabii na mwonaji Nabii na Mwenye karama ya kinabii
Mwonaji kibiblia anafahamika kama *Hozeh au Roeh* yaani mwonaji ambapo huyu kazi yake kuu ni kuona tu na awezi kutoa massage from God yeye ni miwani itazamayo pekee wakati Nabii anafahamika kama *Ish ha el-rohim* yaani Mtu wa Mungu ambaye yeye kazi yake kuu ni kuchukua ujumbe wa Mungu na kuleta kwa wanadamu ikumbukwe Nabii atumwi na wanadamu Bali na Mungu pekee Nabii anafahamika kama Nabi kwa kiarabu na kwa kiratini ni *prophemi* ambaye ndani yake anakuwa na upako wa aina 3
1.DUNAMIST(uweza wa kutenda miujiza na ishara)
2.EXSION (KAVASH AND SHAMAR)kumiliki na kutawala
3.EPIKAIZO(overshadow anointing)
Ambapo Nabii au nabi anakuwa yeye anauwezo wa kumuweka wakfu mtu kutawala anakuwa na uwezo wa kuzima nguvu ya vita kwa kutumia Epikaizo
Tunaona kwa habari ya Musa alikuwa na epikaizo power mpaka Mungu anamkumbusha musa musa panda Mlimani musa anauliza Mungu anajibu ili ukafe,kwasababu ya Too much anointing anakumbushwa mda wake wa kufa,Elisha inabidi Mungu amtumie gari la moto sababu ya epikaizo,inabidi Bwana amtwae Enoko sababu ya Too much power.
Nabii akiijua ofisi yake anakuwa na uweza wa kutenda mambo Mkuu chini ya jua na mwonaji yeye anaweza ona kitu asikusaidie akaishia kusema umefungwa tu kichawi kwisha ila Nabii uwa na majibu maana ametumwa na Mungu.
Na itambulike Mwenye karama tu ya kinabii ni mtu kama mbashiri yaani upata neno la hekima au maarifa wakati wa service peke yake na baada ya hapo uwa anabaki kama yeye tu wakawaida.
Nabii sio mtu wa fashion kimatendo Bali huangalia sana kusudi la Mungu kulitimiza pekee.
*MAFUTA YA KINABII HUTOKA KWA NABII NA KWENDA KWA NABII*
Nabii Mwenye mafuta ya kinabii Siku zote uwa na Chuo cha kinabii ambacho mafuta utoka kwa Nabii na kutengeneza wana wa kinabii ambao kesho uwa manabii badara yake kama Eliya na Elisha na Musa na Joshua mafuta hutoka kwa Baba na kwenda kwa mwana wa kinabii,ili uwe nabii kuna mambo mawili ama umezaliwa Nabii au umejifunza unabii kama unajifunza sababu unayo karama kuna lazima baba ambaye ni Nabii akupake mafuta ya kinabii ili uzidi kuinuliwa kinabii na kama ulizaliwa wewe ni Nabii inatakiwa uwe na mwangalizi tu maaana wewe vyote unajua tayari uitaji mwalimu
*LINDA KARAMA YAKO KWA NGUVU YA MAFUTA YA OFISI YAKO*
*Alpha 1 prophet dericdady*
0679008354
dericglory@gmail.com
Uliza maswali