_*WEWE NI MGODI WA BARAKA*_
_Kuna umhimu wa kujua wewe ni wathamani sana kuliko lulu,rubi,ata tanzanite_
uthamani wako upo katika maamzi yako *if you born poor its not your mistake* kuzaliwa maskin sio kosa lako nikosa na udhembe wa baba yako, *But if you die poor it's your mistake* usikubari kufa maskini kisa umezaliwa familia maskini jijue wewe ni mtu *special* na hakuna mtu wa kufanana na wewe.
amini inawezekana ukainuka tena kiuchumi usikubali kujiambia haiwezekani *imposible is the word only found in dictionary of foolish* changamoto za leo zione kama daraja na darasa la mafanikio yako kesho
*challange give eye of understanding*
Ukiamini wewe ni wakushindwa utashindwa mpaka mwisho *if you fail to plan you plan to fail* jipe sababu elfu ukijithamini nakuamini nini unafanya kitakupa nguvu ya kufikia mpango wa Mungu kwenye maisha yako *remove failure is an option in your life*
Hakuna alie wahi kufanikiwa akiwa amestarehe wote walipambana,simama,jiamini,fanya kile ambacho ni bora na kinaweza kukupa nguvu wewe unaweza *just do it*
*walk with your dream everything is possible under the sun* daudi wa biblia alitembea na ndoto yake na akawa mfalme,yusuph alitembea na ndoto yake akawa waziri mkuu misri.usidharau ndoto yako kwasababu wewe ni dhaifu huna elimu,umezaliwa hujalelewa na baba,yatima ama huna mfadhiri. *mawazo yako yakujionea huruma ni adui yako wa kwanza wa umaskini* Amini wewe unaweza fanya jambo lolote na ukafikia malengo stahiki *adui yako wa pili ni mazingira yako* siku, zote uwa yanakuvunja moyo ukitazama uharisia
*jamaa na ndugu zako,ni adui yako wa 3* ukitaka kuishangaza dunia jikane na simama kama mti mkavu *they know your history but not your future* ukisimama kama shujaa mwenye malengo ndoto,maono utaacha historia yako jiamini *nothing to fear but to fear itself* songa mbele wewe ni mgodi wa baraka.
waache wachimba madini wakutafute usiku namchana usilale simama utimilize maono yako wewe ni shujaa jiamini.
*0712412170*
_*SON OF ALPHA & OMEGA*_
*PROPHET DERICDADY*
No comments:
Post a Comment